Nenda kwa yaliyomo

Peggy Anderson

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Peggy Anderson (Julai 14, 1938 - Januari 17, 2016) alikuwa mwandishi na mwanahabari wa Marekani, anayejulikana sana kwa kitabu chake kiitwacho Nurse "Muuguzi" cha mwaka 1979, ambacho kilionyesha kazi ya muuguzi na kuuza mamilioni ya nakala. [1] Aliandika vitabu vitatu vinavyojulikana sana: The Daughters  "Mabinti" mwaka 1972, kinachohusu Mabinti wa Mapinduzi ya Marekani; Nurse "Muuguzi"  mwaka 1979; na Children's Hospital "Hospitali ya Watoto" mwaka 1985.[1]

  1. 1.0 1.1 "New York Times New York City Poll, January 2003". ICPSR Data Holdings. 2003-05-16. Iliwekwa mnamo 2022-08-12.